Featured
Loading...

Hospitali ya Bugando inayohudumia mikoa ya Kanda ya Ziwa haina CT SCAN kwa muda wa zaidi ya miaka 5 sasa.

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO =>

Hospitali ya Rufaa ya Bugando inayohudumia mikoa ya Kanda ya Ziwa haina huduma ZA CT SCAN na MRI kwa muda wa zaidi ya miaka mitano baada ya zilizoko kuharibika tangu mwaka 2011 bila kufanyiwa matengenezo  hadi sasa.
Daktari bingwa wa uchunguzi wa magonjwa kwa njia za mionzi katika hospitali ya Rufaa Bugando Dkt Godfrey Kasanga amesema mashine ya CT SCAN imefanya kazi wa muda wa miaka kumi na kuharibika.
 
Ukosefu wa vifaa tiba katika hospitali ya Rufaa Bugando ambayo inategemea vipimo vya CT SCAN katika hospitali za watu binafsi zenye gharama kubwa na kuisababishia serikali hasara ya shilingi milioni 270 kila mwaka kwa ajili ya vipimo vya watoto 600 wagonjwa wa mgongo wazi na vichwa vikubwa wanaotibiwa bure huku wengine zaidi ya 400 wakikosa huduma kutokana na ukosefu wa fedha za vipimo.
 
Zaidi ya shilingi bilioni tatu na milioni 400 zinahitajika kununua vifaa hivyo.
[1.6MB]VIDEO CHAFU YA WANACHUO WA UDSM YAVUJA IONE HAPO CHINI =>

UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU

[1.6MB]HIZI NDIZO NJIA RAHISI ZA KUMRIDHISHA MSICHANA WAKO ZIONE HAPO CHINI =>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MFUKUNYUZI | Designed By Code Nirvana
Back To Top