amepongeza uamuzi wa rais wa kumfuta kazi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nje Charles Kitwanga huku akisema ni dhahiri kiongozi huyo amechafua hadhi ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
Pia Lema amekiri kitendo cha unywaji wa Pombe kupitiliza kwa kiongozi ni utovu wa nidhamu jambo ambalo huenda likazidi kushusha hadhi ya bunge ambalo ni Mahususi kwa kutunga sheria na kuisimamia Serikali.
Haya yanakuja ikiwa ni siku moja tu baada ya taarifa ya Ikulu ya Dar es Salaam kutangaza kumtimua kazi aliyekuwa waziri wa mambo ay nadni ya nchi baada ya kuingia bungeni na kujibu swali la wizara yake kimakosa huku akiwa amelewa.
UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU
Chapisha Maoni