Featured
Loading...

Panya Road 75 Wakamatwa Mbande, Dar

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO =>


Simon Siro Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 17.05.2016 ameongea na Waandishi wa Habari na kutanabaisha kuwa Jeshi la Polisi limewakamata vijana waliokuwa wakifanya vitendo vya kihalifu katika viunga mbalimbali vya Jiji la Dar es Salaam maarufu kama Panya Road wanaofikia 75. Vijana hao wamekamatwa wakiwa na Mbwa na Jeshi la Polisi limekamata na Mbwa hao pia. Kamishna Simon Siro akaongeza kuwa hao mbwa wamesumbua sana maeneo ya MbadeAidha Kamishna Simon Siro akitoa pia taarifa ya kuwa mnamo tarehe 27.04.2016 saa 3:30 asubuhi silaha (Bunduki) aina ya Short Gun yenye nambari 7264 iliyokatwa mtutu ilikamatwa huko Mbagala Chamazi lakini haikuwa na risasi. Silaha hiyo ilikamatwa baada ya raia wema kutoa taarifa kwa jeshi la polisi.
Kamishna Simon Siro akaongeza pia kuwa zoezi la uhakiki wa silaha linaendelea hivyo watanzania wanaombwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi na vyombo vya usalama.
[1.6MB]VIDEO CHAFU YA WANACHUO WA UDSM YAVUJA IONE HAPO CHINI =>

UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU

[1.6MB]HIZI NDIZO NJIA RAHISI ZA KUMRIDHISHA MSICHANA WAKO ZIONE HAPO CHINI =>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MFUKUNYUZI | Designed By Code Nirvana
Back To Top