Featured
Loading...

Kafulila Ashindwa Kesi Ya Uchaguzi Kigoma

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO =>
Mbunge wa( NCCR- Mageuzi- kigoma Kusini) David Kafulila akichangia hoja
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR).
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora yatupilia mbali Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na kumpa ushindi Hasna Mwilima( CCM).
Kesi hii ilifunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Tabora na kuwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari.
husna mwilima
Hasna Mwilima( CCM).
Katika kesi hii upande wa mlalamikaji (Kafulila) uliongozwa na mawakili Prof. Abdallah Safari, Tundu Lissu na Daniel Lumenyera, Ili hali upande wa mlalamikiwa (Hasna) uliongozwa na wakili Kennedy Fungamtama pamoja na Mawakili wa Serikali upande wa mwanasheria mkuu wa Serikali.
[1.6MB]VIDEO CHAFU YA WANACHUO WA UDSM YAVUJA IONE HAPO CHINI =>

UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU

[1.6MB]HIZI NDIZO NJIA RAHISI ZA KUMRIDHISHA MSICHANA WAKO ZIONE HAPO CHINI =>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MFUKUNYUZI | Designed By Code Nirvana
Back To Top