Featured
Loading...

Miaka miwili baada ya kutekwa wasichana 276 na Boko Haram, mmoja apatikana akiwa mjamzito

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO =>
Kama unazikumbuka story za kundi la Kigaidi la Boko Haram kuteka wasichana 276 Nchini Nigeriasasa leo taarifa zilizopatikana ni kwamba binti mmoja amepatikana baada ya miaka miwili.
Binti huyo kwa jina la  Amina Ali amepatikana akiwa na ujauzito kwenye msitu wa Sambisa huko kaskazini mwa  Nigeria ambapo ndipo walikuwa wamefichwa wasichana hao.
Wasichana hao ambao huitwa ‘chibok girls‘ ambao ni wanafunzi wa shule ya bweni walitekwa na magaidi hao wakiwa shuleni.
[1.6MB]VIDEO CHAFU YA WANACHUO WA UDSM YAVUJA IONE HAPO CHINI =>

UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU

[1.6MB]HIZI NDIZO NJIA RAHISI ZA KUMRIDHISHA MSICHANA WAKO ZIONE HAPO CHINI =>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MFUKUNYUZI | Designed By Code Nirvana
Back To Top